Utengenezaji wa vyakula vya kuku
Jinsi ya kupata virutubisho mbalimbali
Ili kifaranga awe na afya nzuri na akue upesi anahitaji chakula maalum. Chakula
hicho ni mchanganyiko wa viini lishe mbali mbali. Kila kiini lishe ni lazima kiwe katika
kiwango sahihi kulingana na mahitaji ya mwili wa kifaranga. Viini lishe anavyohitaji
kifaranga ni:
• Wanga • Mafuta
• Protini • Vitamini
• Madini • Maji
Mchanganyiko sahihi wa viini lishe kwa mahitaji ya kifaranga, humwezesha kukarabati na kujenga mwili (kukua) haraka. Viini lishe tulivyovitaja hapa juu hupatikana katika aina mbali mbali za viungo ghafi vya chakula cha kuku kama ifuatavyo:
Wanga
Wanga hupatikana katika pumba, chenga au dona ya nafaka kama mahindi au
mtama aina ya serena, lulu n.k.
Vyanzo vya Wanga
Mafuta
Mafuta hupatikana katika mbegu kama karanga au alizeti. Mbegu hizi zikikamuliwa
mashudu yake hubaki na kiasi fulani cha mafuta. Haya hutumika kulishia mifugo
mbali mbali.
Alizeti Alizeti
Mashudu
Mashudu ya karanga
Dagaa
Damu hiyo unaweza kuipata machinjioni. Changanya damu mbichi na pumba katika
ndoo au chombo chochote kilicho wazi upande mmoja. Vuruga mchanganyiko huo
kwa kipande cha mti, halafu fikicha kwa viganja ili kuondoa mabonge. Sambaza
mchanganyiko huu juu ya bati halafu anika juani mpaka ukauke kikamilifu.
Tahadhari: Ukiamua kutumia damu katika mchanganyiko wa chakula hakikisha
utaitumia mfululizo.Maana kuku wakiaasha izoea ikikosekana huanza tabia ya
| At mgeta shamba darasa |
| At buswelu in mwanza |
At sua in morogoro |
At Bwanga in chato |
No comments:
Post a Comment